Baada ya hapo jana Staa mrembo wa Bongo
Movies, Wema Sepetu kueleza kuwa anatamani sana kupata mtoto lakini hana
uwezo huo,Staa mwenzake ambae ni mama wa mtoto mmoja, Riyama Ally ampa
neno hili la faraja na matumani.
“Naomba hapa unisikie kwamakini nabii
ibrahim alimpata na bii ismail akiwa na umri mkubwa sana utuuzimani
wema bado mdogo muda utafika inshallah mola atakupa mume mwenye kheri na
wewe uzae jike na dume usiumie mama mungu hukupa akujaalialo na sio
umuombalo watoto ni kudra za mola na sio jitihada za wana dama atakupa
maa muda ikifika tena utapakata na utanyonyesha inshallah amin nakupenda
sanaaaaaaaaaa”- Riyama ameandika kwenye ukurasa wake wa mtandaoni. mara baada ya kubandika picha ya Wema.
0 comments:
Post a Comment