Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Ndoto za Aunty Ezekiel za Kwenda Kujifungulia Marekani zagonga Mwamba..Daktari Ampiga Stop

Ndoto za Aunty Ezekiel za Kwenda Kujifungulia Marekani zagonga Mwamba..Daktari Ampiga Stop

Ndoto ya Mwigizaji Maarufu na mrembo wa Bongo Movies Aunty Ezekiel ya kwenda kujifungulia nje ya nchi zimefikia ukingoni baada ya daktari wake kumwambia amechelewa kusafiri kwani kwa miezi aliyofikia w
akati huu hairuhusiwa kwa kusafiri kwa kutumia usafiri wa ndege kwani ni Hatari

Kitaalam mjamzito akishafikisha zaidi ya miezi saba ni hatari kusafiri kwa usafiri wa ndege kwani inaweza kusababisha presha ya mama kushuka kwa ajili ya kubadilika kwa hewa ndege ikiwa angani ..Hivyo masharika ya ndege yana utaratibu wao wa kuwakataza mama wajawazito wa miezi hiyo kusafiri kwa usafiri huo bila ruhusu ya daktari ..

Aunty alikuwa amepanga kujifungulia Marekani na alikuwa ameshajitayarisha kwa Safari hiyo..WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips