Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Ndoa ya Shetta imevunjika…Mke Aondoka Nyumbani Week Sasa ..Sheta Amnunulia Gari ili Kumrudisha Lakini Mke Kakataa..Kisa Rose Ndauka

Ndoa ya Shetta imevunjika…Mke Aondoka Nyumbani Week Sasa ..Sheta Amnunulia Gari ili Kumrudisha Lakini Mke Kakataa..Kisa Rose Ndauka

Wiki kadhaa sasa zimepita toka tuweke skendo ya Mwanamuziki Shetta Kulala Hotel na chumba Kimoja Huko Morogoro Walipokwenda Kwenye mazishi ya Abdul Bonge..

Sasa kilichofatia baada ya Skendo hiyo ni mke kuondoka nyumbani  baada ya skendo hiyo kuzagaa mitandaoni na magazetini na Baada ya baadhi ya watu kumzibitishia..

Shetta mwenyewe amekiri walilala Hotel moja lakini sio chumba kimoja kama watu wanavyosema ..
Shetta kwa sasa yupo katika harakati za kumrudisha mke wake nyumbani ili walee mtoto wao amemnunulia gari aina ya Toyota Mark X lakini mkewe bado amekataa kurudi nyumbani..
shettatz" Asante Mungu kwa hichi kidogo ulichonipa Mamake Qayllah na mwanangu @officialqayllah kidogo nao wajisikie raha #StriveForGreatness #ShikoroboTourLoading "WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips