Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » , » John Mnyika Amshambulia Zitto Kabwe Mtandaoni, Vita yao Sasa ni zaidi ya Siasa..

John Mnyika Amshambulia Zitto Kabwe Mtandaoni, Vita yao Sasa ni zaidi ya Siasa..

Mkurugenzi wa habari na uenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amemshambulia kwa maneno makali hasimu wake na adui namba moja wa Chama chake Mhe Zitto Kabwe kwa kumuita muongo na kwamba amewatumia waandishi wa Habari kuandika taarifa za Uzushi kuhusu Mnyika.

Mnyika ametoa tuhuma hizo dhidi ya Zitto asubuhi hii kupitia akaunti yake ya Twitter na kumtahadharisha Zitto kuwa atamchukulia hatua Kali za kisheria kwa kupitosha mazungumzo ya Mnyika na familia ya Mwalimu Nyerere.

Sasa hivi imebainika kuwa ni vita kamili baina ya Zitto na Mnyika hasa baada ya kubainika tetesi kuwa Zitto anagombea jimbo la Ubungo ambalo liko chini ya Mnyika hivi sasa.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Pages (38)1234 »
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips