|
Wema Sepetu |
Hizi ni baadhi ya picha za mrembo na staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu
hapo jana usiku katika uzinduzi rasmi wa gari la kampuni ya Mitsubishi
aina ya ASX akiwa kama balozi.
Hivi karibuni Wema Sepetu na mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo,
walipata shavu la kutengeneza tangazo la gari hilo jipya ambapo kwenye
tangazo la gari hilo, mastaa hao wenye ushawishi mkubwa wanaonekana
wakisifia vitu mbalimbali vilivyomo kwenye gari hilo.
Katika Hatua Nyingine Mashabiki wake wamefurahishwa na Jinsi Wema
Anavyojituma kwa sasa kwenye Kazi mbalimbali Kwa kutumia Jina na
Umaarufu wake kujiongezea kipato tofauti na alivyokuwa na Diamond..
Hongera sana Wema na team yako kutoka Endless Fame
|
|
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment