Ukitembea maeneo kadhaa ya Dar es Salaam hasa Coco Beach, Parking za
Mlimani City, Sea Cliff, Airport, Sinza Mapambano na Mori hutakosa watu
wakipigana miti kwenye magari hasa yenye Tinted Noah ndio zinaongoza.
Sasa mimi najiuliza hivi kweli watu wazima mnaamua kufanya mapenzi kwenye gari ni kukosa pesa, au ashki imekuwa kali sana hauwezi kuvumilia ama ni nini.Maana kama mtu umeweza kununua gari kama Noah milioni kadhaa, ukajaza mafuta.
Maana mara nyingi wakati watu wanafanya gari huwa lipo silence kwa ajili ya kiyoyozi na Emergency kwa ajili ya kuondoka haraka ikitokea la kutokea unashindwaje kupata hela ya Guest hata short time.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:
Post a Comment