Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Jack wa Maisha Plus Adaiwa Kupewa Mimba na Mwarabu wa Dubai

Jack wa Maisha Plus Adaiwa Kupewa Mimba na Mwarabu wa Dubai


Na Imelda Mtema/Ijumaa
Msanii wa filamu ambaye ni zao la Shindano la Maisha Plus, Jack Dustan anadaiwa ni mjamzito huku mlengwa wa mzigo huo akidaiwa kuwa Mwarabu aliyewahi kuripotiwa kuwa anatoka naye.

Jack alitua hivi karibuni akitokea Dubai alikokuwa akiponda maisha na mara kadhaa amewahi kutundika picha mtandaoni akiwa kimahaba na mwanaume huyo wa Kiarabu.
Akizungumzia madai hayo, Jack alisema: “Mimi ni mwanamke bwana, kuzaa ni wajibu kwa hiyo sioni kama ni skendo mimi kuwa na mimba.”

Alipoulizwa kama ni ya mwanaume Mbongo au yule Mwarabu wake, mwanadada huyo alipata kigugumizi na kuishia kusema: “Msubiri nikijifungua.”WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips