Mwishoni mwa wiki iliyopita kulikuwa na show kubwa ya muziki ambayo ilifanyika katika viwanja vya Ledears Club ambapo katika show hiyo iliwakutanisha Diamond Platnumz pamoja na Ali Kiba ambao kila mmoja alipata mapokezi tofauti kutoka kwa mashabiki wao.
Katika show hiyo kuna baadhi ya mashabiki ambao walikuwa na furaha kushuhudia show ya wakali hao wawili wakati show inaendelea msanii Diamond Platnum aliweza kuwarushia noti za buku mbilimbli mashabiki wake.Kufuatia kitendo hicho ndipo msanaii Queen Darleen amefunguka na kusema kuwa dawa ya machupa stejini ni pesa. "Machupa kiboko yake pesaa,tunasaka hela na wewe saka "
Mashabiki wa Queen Darleen wameonyeshwa kutofurahishwa na kauli ambayo imetolewa na dada wa nyota wa muziki Diamond Platnum na wao wanaamini kuwa msanii huyo anazidi kuchochea bifu iliyopo kwa mashabiki wa Diamond pamoja na Ali Kiba.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment