Meneja wa Wema aitwae Martin Kadinda amejikuta ameshindwa kuzuia hisia zake kutokana na masihara ya mpoki pale alipowaambia kuwa timu Diamond ni kikundi kinachoongoza kupost picha hata zisizo na msingi kwenye mitandao ya kijamii hususani Instagram,
Mpoki aliwaambia Diamond na wafuasi wake akiwemo wema,martin kadinda,Rommy Johnson kuwa wanapost kila wakati kwa mfano wakiwawanakula,wamelala ndipo Martin kadinda alipomwambia mpoki kuwa atafute namna nyingine ya kutafutia pesa.
Kauli ya Kadinda iliwashangaza wengi kwani licha ya kuwa mpoki alikuwa anazungumza kimasihara lakini jambo lake linaukweli kwa kiasi kikubwa japo Kadinda alikuwa mwepesi kupanik na kushindwa kukubaliana na ukweli huo.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment