Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » , » Wakati headlines za Dr. Slaa zikiendelea na CHADEMA, haya ni maneno 28 kayaandika Zitto Kabwe

Wakati headlines za Dr. Slaa zikiendelea na CHADEMA, haya ni maneno 28 kayaandika Zitto Kabwe

ZZK
Kumekuwa na Headlines nyingi mfululizo kuhusu kinachoendelea CHADEMA baada ya kupokelewa kwa Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa… swali ambalo ripota wa millardayo.com alimuuliza Mbunge Tundu Lissu kuhusu ishu ya mpasuko ambayo iliandikwa sana Magazetini, jibu lake lilikuwa hili  >>>> “Haya maneno ni ya siku nyingi sana na tumetabiriwa maafa tangu siku ya kwanza… Lowassa hakukaribishwa na Mwenyekiti wa CHADEMA pekeyake, Wenyeviti wa UKAWA wote walikuwepo kwenye stage. Anaesema UKAWA imeteteleka hayo maneno hayataisha” — Tundu Lissu.
Magazeti yameendelea kuandika kuhusu stori ya kinachoendelea CHADEMA, gazeti la Raia Tanzania August 01 2015 limebeba headline hii >>> “Dk. Slaa ajivua uanachama, ni siku chache baada ya kujiuzulu Ukatibu Mkuu, arejesha nyaraka, gari” >>>
Zitto Kabwe amepost picha ya gazeti hilo @Instagram na kuyaandika haya >>> Siasa zinabadilika sana. Siamini kama hili laweza kutokea, lakini wiki kwenye siasa ni kubwa mno. Sisi wengine tunatazama tu maana tulipita kwenye changamoto hizi“– @

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos
Kwanini Tundu Lissu hakutokea Lowassa alipojiunga na CHADEMA?

WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips