Agness Masogange |
Kumbe! Video Queen wa Kibongo, Agness Gerald ‘Masogange’ amewabwatukia watu wanamsonga na maneno kuwa anaishi mjini kwa kuyanadi makalio yake mtandaoni.
Akizungumza Ijumaa Wikienda hivi karibuni, Masogange alisema kuwa umbo lake amejaliwa na Mungu na halitumii kama vile wengi wanavyodhani kuwa anajinadi kwenye mitandao ili kuwakamata midume.
“Watu wengine sijui wakoje, kila mtu ana mfumo wa maisha yake anavyotaka kuishi, siyo kwamba naishi mjini kwa sababu ya makalio yangu, wanaodhani hivyo wanakosea sana,” alisema Masogange.
Source:Global Publishers
0 comments:
Post a Comment