Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Yemi Alade Feat. Selebobo - ‘Na Gode’

Yemi Alade Feat. Selebobo - ‘Na Gode’

nagade
Baada ya nyimbo ya ‘Johnny’ na ‘Tangarine’ kufanya vizuri kwenye vituo mbalimbali vya habari za burudani, Staa wa Nigeria Yemi Alade karudi tena kwenye Headlines za burudani leo baada ya kauchia ngoma yake mpya ‘Na Gode’ aliyomshirikisha Selebobo.
Neno ‘Na Gade’ linatoka kwenye lugha ya Hausa huko Nigeria likimaanisha asante.
Nakukaribisha hapa kuisikiliza

WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips