Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Nahisi Rafiki Yangu Anataka Nimsaidie Kumtia Mimba Mke Wake

Nahisi Rafiki Yangu Anataka Nimsaidie Kumtia Mimba Mke Wake

Kuna jamaa yangu yupo kwenye ndoa kwa miaka saba na hajafanikiwa kupata mtoto..hivi karibuni analikuwa ananipigisha stori fulani hivi ambazo nilikuwa sizielewielewi.
Juzi amekuja kutoka Morogoro amekuja nyumbani kwangu Dar anasisitiza anataka nimsaidie kutafuta dawa ili mkewe apate ujauzito eti wamekubaliana na mkewe wanishirikishe mimi kwa sababu ni msiri na mstaarabu.
Ili mke wake apate ujauzito kumbuka mimi siyo daktari. Alivyoona nakuwa mkali akaniambia atanipigia simu akifika Morogoro ili tujadiliane vizuri. 
Ameondoka leo asubuhi kimsingi mimi sijaoa na sijaona sababu ya kufanya ujinga huo. Wanajukwaa mimi msimamo wangu ni hapana. 
Ushauri tafadhali
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips