Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Diamond Anusirika Kukatwa Mguu...Ugonjwa Unaomsumbua ni Hatari Sana..Afanyiwa Upasuaji..Video

Diamond Anusirika Kukatwa Mguu...Ugonjwa Unaomsumbua ni Hatari Sana..Afanyiwa Upasuaji..Video

Mwanamuziki Diamond Platnumz Amejikuta katika wakati mgumu Baada ya Tatizo la Mguu lilikuwa likimsumbua kwa miaka miwili kufikia hatua mpaka kufanyiwa upasuaji kuokoa mguu wake usikatwe..Diamond alipelekwa Hospitali ya TMJ baada ya maumivu kuzidi na baada ya kufanyiwa uchunguzi aligundulika na Ugongwa unaitwa FOOT CORN ama Kisahani kwenye Goti ..Ambapo Daktari alisema ni Ugonjwa mbaya sana ambao usipotibiwa haraka hulazika mgonjwa kukatwa Mguu..Diamond amefanyiwa upasuaji na kuondoa Tatizo hilo katika Mguu wake ..

Angalia Video Hapa chini Akiwa Katika Chumba cha Upasuaji: WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips