Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Gardner Akanusha Uvumi wa Kuachana Mkewe Jack Pentezel

Gardner Akanusha Uvumi wa Kuachana Mkewe Jack Pentezel

Gardner Dibibi ambae ni mume wa mwigizaji wa filamu  Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuz’ amekanusha taarifa  zilizoenea mtandao na kwenye magazeti ya udaku kuwa ameachana mke wake Jack.

Gardner ameimbia Bongomovies.com kuwa taarifa za yeye kuacha na mkwe wake sio za kweli japo kuwa ni kweli walikuwa natofauti za kawaida na wameshazimaliza na pia amekanusha kuwa hakumpa talaka kama ilivyoripotiwa .

Taarifa hizo sio za kweli, sisi  tuko pamoja, tulikua na matatizo ya kawaida tu lakini hatujaachana na wala sijawai mpa talaka" Gadner alieleza.

Taarifa hizo zilidai kuwa wawili hawa ambao wamedumu kwenye ndoa kwa miaka miwili na nusu sasa wameachana baada ya Gardner kumpa talaka Jack huku chanzo kikitajwa kuwa ni usaliti katika mapenzi. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips